Nipo kwenye last steps kukamilisha hiyo system ambayo inaweza fanya hivi-
1-create users with different roles and permissions
2-add stock
3-sell stock
4-truck proft and usage
5-view and export reports
And more
In lab section
Track participant from reception to doctor, lab n.k
Sina...
Heloo hii project ni very simple na niliiunda kipindi najifunza PHP, ni system ambayo itatake user notes na kusave kwenye database, na kuzishow kwa user ina admin panel pia ina user information settings
Source code Inapatikana HAPA
Pia unaweza itumia kwa kuanzisha mtandao wako (tovuti)...
Wengi huwa wanaambulia html tena ile basic kabisa, wachache angalau wataongezea php, javascript, wachache sana hawa wenye passion ndio wataingia mpaka kwenye python, c#, c++, java... Hapa nazungumzia kuelewa kwa lengo la uundaji na ubunifu sio kukariri tu kwajili ya test kisha baada ya hapo vina...
Habari wadau !!
Hope mpo poa sisi tupo bado tunapambana na maisha sasa naomba kujuzwa niwezaje kuload au kurun site as site in PHP using XAMPP nota s index of site
Niliwahi kusoma coment moja ya mdau kuna wakati ni lazima usome code za watu ili uwe improved na kurahisisha kazi sasa hio php...
Hello Tech members
Moja kati ya maswali yanayojirudia rudia sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia ni "Nijifunze kipi Kati ya Language Y na Language X
Au kati ya Framework Y na Framework X?"
Kwa beginner, hii ni dilemma ambayo hana hakika njia ipi ni salama au sahihi kwake
Kwenye Web...
Mimi ni mwanafunzi diploma in computer science. Nimeangalia google, kwa nchi nyingine php ni kama ya kizamani kidogo na wengi hawa recommend. Lakini kuna mtu kaniambia tanzania website nyingi bado zinatumia.
Je, hili ni kweli?, Kwasababu naogopa nisije soma kitu ambacho kwenye mazingira yangu...
Title haina maelezo sana ila uzi ni wa homework.
Yeyote anayejiamini atatoa homework ili watu wajifunze kupitia homework kufanywa na ukishafanya basi tupia solution yako.
usianze ushamba wa kulinganisha lugha, Wewe fanya homework, tusaishane hapa
Naanza mimi.
Nina form ambayo ninatatka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.