Mie si mpenzi wa WCB lakini ukweli usemwe toka jamaa ameanza kutoa amapiano zote zimehit kuliko kawaida. Hakuna msanii anaeweza kutoa ngoma back to back kama alivyofanya jamaa kuanzia Tajiri,Tunakikao,beer nyama, Sawa na sasa Kibango inayosumbua mtaani. Myonge myongeni lakini haki yake mpeni.
Yaani warusi wa Moscow wameambukizwa tabia za warusi wa tandahimba.
——––————————————————
Ikulu ya Marekani imethibitisha kuwa ilionya mamlaka za Urusi mapema mwezi Machi kuhusu kuwepo na uwezekano wa shambulio linaloweza kulenga “maeneo yenye watu wengi” mjini Moscow.
“Mapema mwezi huu...
Habari wandugu ,
Nauza. SEA PIANO (as seen) from pictures..
Mwaka wa manunuzi ni 2023 , inauzwa , full box..... BEI 150,000/= Bei NOW. 120,000/=
Inapatikana moshi. Mjini mtaa wa shana
Mawasiliano.
0672701329
Habari rafiki!
Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako!
Tunayo akaunti ya TikTok inayoitwa B&G Entertainment ambayo inakusudia kuwawezesha vijana wenye vipaji mbalimbali...
Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats, kucheza solo guitar na bass, tutafanya kazi katika studio yetu kubwa iliyoko Mbuyuni Salasala.
Kama kuna mtu unamfahamu ni-PM au 0621 014 638
Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats, kucheza solo guitar na bass, tutafanya kazi katika studio yetu kubwa iliyoko Mbuyuni Salasala.
Kama kuna mtu unamfahamu ni-PM au 0621 014 638
Heshima kwenu wakuu.
Well, naomba msaada kwenu wakuu. Kwa mfano nina beat, halafu niko na program ya FL Studio, sasa nahitaji kupiga au kuongeza some instruments kwenye hiyo beat kwa Kutumia FL Studio nafanyaje wakuu?
Naombeni muongozo wadau. Natanguliza shukran kwenu wakuu.
Thanks a lot.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.