Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu.
Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini.
Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa.
Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge.
Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel...
Salaam jamiiforum
Habari za jumapili hope mko wazima.
Picha ni kumbukumbu nzuri Kwa familia na ndugu tangu zamani wengi tumepiga picha na wazazi wetu ikiwa ni kumbukizi na hatua zetu za ukuaji na matukio tofauti.
Mtu akiwa mtoto, akiwa anaanza shule, kupata ubatizo na kipaimara, kuhitimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.