Wakuu,
Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekonolojia, Dkt. Adolf Mkenda amesema wizara hiyo itatuma timu ya wataalam Shule ya Sekondari Baobab iliyopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kuchunguza kwa kina sakata la video zinazosambaa mtandaoni ambazo ni kinyume na maadili ya Kitanzania.
Soma pia...
Kuna video zilisambaa zikionyesha mabinti wa Baobab secondary wakifanya video za uchi na vitendo vya usagaji.
Hii shule inamilikiwa na nani?
Uongozi wa shule ya Baobab haujaomba radhi wala kukemea huu upuuzi, kwa maana utajirudia tena hapo shuleni na una baraka za uongozi.
Haya yamevuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.