ndugu zangu ndio tumefikia huku, kumdhalilisha Rais wetu namna hii? Picha ya Rais ni tunu kubwa sana inapaswa kuheshimiwa, iweje iwekwe kwenye mitungi ya gesi? Lengo ni nini hasa?
Wakuu
Uchawa unavuka boda sasa
==
Msanii wa Hip Hop, Madee, kupitia Instagram, amemtambulisha Rais Samia Suluhu Hassan kwa mashabiki wa Arsenal kwenye mechi ya jana, Desemba 27 dhidi ya Ipswich, akisema kuwa anaunga mkono juhudi za Rais katika sekta ya michezo.
Pia, Soma: Rais Samia...
Inadaiwa kuwa kijana aliyefungwa jela kwa kuchoma picha ya Rais Samia kisha wananchi wakachanga kumtoa amefariki dunia.
Kijana huyu amekuwa haonekani kwa siku nyingi sasa baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana.
Tunawakumbusha viongozi wetu kwamba, shida kubwa ya Watanzania ni Ugumu wa Maisha unaosababishwa na kuanguka kwa Uchumi na ukosefu wa ajira.
Kupiga picha na watu wenye njaa wanaotaabika kwenye kila jambo, achilia mbali kwamba ni kejeli lakini pia haikubaliki mbele za Mungu, kukusanya Masikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.