picha ya rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tafadhali naomba kama kuna yoyote ana Picha ya Rais Samia akienda 'Kuhani' Msiba wa Waziri wake Mchengerwa aniwekee hapa

    Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
  2. Ndugu zangu huku ni kumdhalilisha Rais hii picha yake inafanya nini kwenye mitungi ya gesi?

    ndugu zangu ndio tumefikia huku, kumdhalilisha Rais wetu namna hii? Picha ya Rais ni tunu kubwa sana inapaswa kuheshimiwa, iweje iwekwe kwenye mitungi ya gesi? Lengo ni nini hasa?
  3. Pre GE2025 Madee aipeleka picha ya Rais Samia London kwenye mchezo wa Arsenal na Ipswich

    Wakuu Uchawa unavuka boda sasa == Msanii wa Hip Hop, Madee, kupitia Instagram, amemtambulisha Rais Samia Suluhu Hassan kwa mashabiki wa Arsenal kwenye mechi ya jana, Desemba 27 dhidi ya Ipswich, akisema kuwa anaunga mkono juhudi za Rais katika sekta ya michezo. Pia, Soma: Rais Samia...
  4. SI KWELI Shadrack Chaula aliyechoma picha ya Rais Samia ameripotiwa kufariki, Agosti 15, 2024

    Inadaiwa kuwa kijana aliyefungwa jela kwa kuchoma picha ya Rais Samia kisha wananchi wakachanga kumtoa amefariki dunia. Kijana huyu amekuwa haonekani kwa siku nyingi sasa baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana.
  5. Nafuu ya Maisha kwa Wananchi ni Bora zaidi kuliko picha za Kumbukumbu

    Tunawakumbusha viongozi wetu kwamba, shida kubwa ya Watanzania ni Ugumu wa Maisha unaosababishwa na kuanguka kwa Uchumi na ukosefu wa ajira. Kupiga picha na watu wenye njaa wanaotaabika kwenye kila jambo, achilia mbali kwamba ni kejeli lakini pia haikubaliki mbele za Mungu, kukusanya Masikini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…