Nimekaa nikatafakari nikajiuliza hivi aliyekamatwa na kuwekwa korokoroni kwa sababu ya kuchoma picha ya Rais ameonewa? Je, emetendewa haki?
Kisha nikajiuliza je, Rais kwa kuchomwa picha yake ameonewa? Ametendewa haki?
Kisha nikajiuliza je, kitendo cha kuchoma picha ya Rais ni sawa na kumchoma...