Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.
Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.
Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.