Ni Jamaa ambaye alishawahi kuwa hawara wa mkeo, akamwacha kwa kashfa kibao alimchafua mitaani na huko Facebook, wewe bila kujali udhalilishaji aliofanyiwa bila kujali kashfa ukaamua kumuoa.
Sasa baada ya miaka kadhaa kupita Jamaa anaaanza kummendea mkeo,mara atume watu mara apige simu, Mkeo...