Hawa watoto mtawaatapika tu, mnaendelea kuliwa, mfahamu damu ya watoto wa Wayahudi sio ya kuchezea, namba za mliouawa zinaelekea kufika 40,000
Hapakua na ulazima wa kufanya huu ujinga hata kama mumeaminishwa na dini muwe makatili, mnapaswa mchague nani wa kufanyia ukatili.
The Palestinian...
Wakuu kwema?
Inaweza kutokea ndugu yako akaomba kumpiga picha mtoto wako akisema mtoto amependeza au mtoto wako mzuri picha zitatoka vizuri, wakati mwingine inaweza kuwa hata kwa majirani au watu ambao huwajui kabisa.
Dunia imebadilika, huwezi kujua unayemruhusu ampige picha mtoto wako...
Wazazi nchini Ufaransa wanaweza kupigwa marufuku ku-post picha za Watoto wao kwenye mitandao ya kijamii iwapo muswada mpya uliowasilishwa wiki hii utapitishwa kuwa sheria.
Muswada huo utaipa Mahakama mamlaka ya kuwapiga marufuku Wazazi kuweka picha za Watoto wao mtandaoni ambapo wote wawili...
Ni kama fashion sasa hivi watu kuwarekodi watoto kwa video fupi au kuwapiga picha wakiwa katika harakati zao za maisha ya kitoto.
Kwa kuwa mtandao imekuwa mbadala wa albam kwenye kutunza kumbukumbu ni jambo jema kutunza kumbukumbu za makuzi ya mtoto iwapo unaona ni lazima ukatunze mitandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.