picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. KWELI Picha ya Lionel Messi na Yamal akiwa mtoto

    Kuna picha inasambaa ikimuonesha Messi akiwa anamuogesha Yamal wakati Yamal akiwa mtoto. Naomba kufahamu ukweli wa ile picha na ilikuwaje Messi akakatuna na Wazazi wa Yamal enzi hizo.
  2. Askari wanne wafukuzwa kazi kwa kufuta picha za kwenye kamera ya mwendokasi

    Mtakumbuka Mei 30,2024, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kushikiliwa Askari Polisi wanne (4) kwa ajili ya uchunguzi. Askari hao walikuwa wanafanya kazi kitengo cha usalama barabarani Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro. Baada ya uchunguzi kukamilika ilibainika kuwa, askari hao walikuwa...
  3. Hii picha inakupa kumbukumbu gani mdau?

    Mwaka 2018 kulitokea mambo ya ajabu sana kwenye suala la ukamataji Samaki wenye umbo dogo au samaki ambao hawajakomaa! Samaki hao wenye urefu chini ya sentimita 25 kutoka Ziwa Victoria walikamatwa katika mgahawa wa Lamba Catering Service. Ni kati ya kilo 100 za samaki waliokuwapo mgahawani hapo...
  4. E

    Kila nikiangalia hizi picha nabaki kuwangaa CHADEMA lia lia kuhusu suala la Msigwa

    Wanasiasa ni ngumu sana kuwaamini na wanashangaza
  5. Picha: Daktari gaidi aliyeuawa na Israel

    Huyu daktari alipouawa mlipiga makelele kwamba IDF inaua hadi madakatari, mkaambiwa ni ligaidi la kiislamu hamkutaka kuamini haya picha zimeanza kujitokeza lilivyokuwa limekubuhu, ifahamike kwenye ugaidi wa kiislamu huwa hamna cha msomi wala nini, wote lao moja, piga tu. =====================...
  6. Picha za kurasa za vitabu hivi mbona zinatisha huwa vinafundisha nini?

  7. Kuna Picha Kuwa Mamlaka Inamuhofia Mwigulu Ndio Chanzo cha Migogoro Kuwa Endelevu

    Mwaka jana mgogoro kati ya serikali na wafanyabiashara ulikuwa mkubwa kiasi cha kumtoa Waziri mkuu ofisini na kuja kusuluhisha. Pamoja na waziri wa fedha Mwigulu kutupiwa lawama zote kwenye mkutano ule alitoa ahadi kadhaa za utatuzi mbele ya waziri mkuu. Ajabu, kama asemavyo CG wa TRA ni kuwa...
  8. Picha za watoto walishikiliwa na HAMAS, huku vifo vya Wapalestina vikifikia 37,431

    Hawa watoto mtawaatapika tu, mnaendelea kuliwa, mfahamu damu ya watoto wa Wayahudi sio ya kuchezea, namba za mliouawa zinaelekea kufika 40,000 Hapakua na ulazima wa kufanya huu ujinga hata kama mumeaminishwa na dini muwe makatili, mnapaswa mchague nani wa kufanyia ukatili. The Palestinian...
  9. Jumu la Picha za Wazalendo Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

    JUMU LA PICHA ZA WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WENGI WAO MCHANGO WAO HAUFAHAMIKI Picha hizo ni za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika wengine kwa mali walizojaaliwa na wengine kwa kukosa mali walipigania uhuru kwa hali zao. Wengi wao hawatambuliki wala hawafahamiki. Huu ni msiba usio na...
  10. Natafuta AI ya kutengenezea picha kwa ajili ya blog

    Wakuu nahitaji kutengeneza picha za kuweka kwenye blog
  11. M

    Hivi huyu kweli siyo Boss wa Hamas Ismail Haniyeh kapiga picha karibu na Mwijaku alivyoenda kuhiji?

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Hii picha ya Mwijaku aliyoipiga akiwa Mecca kwenye ibada ya Hija inamuenesha karibu yake akiwa na mtu anafanana kabisa na Boss wa kundi la kigaidi Hamas Ismail Haniyeh upande wa kulia. Mwijaku ni msomi mhamasishaji na mchekeshaji maarufu sana nchini.
  12. L

    Tazama picha hii Ya Luhaga Mpina kwa umakini halafu uniambie muandishi alitaka kutoa ujumbe gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii. Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa...
  13. Picha: Ukishakuwa Rais hata kuna mambo ya Kidini yanapindishwa

    Namwona ndugu rais akiwa ibadani na huku wadau mbalimbali wakiendelea na swala. Leo ni siku ya kuchinja.
  14. Maktaba Imepokea Picha Kutoka Mbali Katika Historia ya TANU Moshi Mjini

    Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka kutoka familia za wapigania uhuru ambao historia imewasahau. Leo nimepokea picha ambazo kwa hakika...
  15. Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  16. Picha: Kitanda cha Chawa

    Anaupiga mwingi, kazi ziendeleeee!
  17. R

    Rais Samia kemea haya ya matumizi mabaya ya fedha za umma angalau kidogo

    Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu Extravagancy of the highest degree https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
  18. Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

    Wakuu habari Kichwa cha habar cha husika
  19. TECH: Kuna mtu niliwahi kumtumia picha ya ku-view once cha ajabu akanifowardia hiyo picha

    Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung. Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani. Kuna jamaa angu anatumia samsung nilimtumia picha ya view once yy hakuweza kuis screenshot wala kuihifadhi! hapo...
  20. Picha: Miradi ya maana Dubai

    Usijiulize kwanini wa bongo wengi sana kwa sasa nchi yao ya future kwenye biashara ni Dubai city Ona midude hiyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…