picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Picha: Uchawa wa kisiasa uliovuka mipaka

    Ukisikia Uchawa uliovuka mipaka kwenye siasa ndio kama huu,
  2. Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
  3. Picha: Kwa ukuta wa kihivi, wana Gaza waisahau Misri, yaani wajifie huko

    Sasa hivi kila mtu anajenga kwake, hamna cha undugu wala dini, mkijifanya wababe wa ugaidi kwenu huko mnajengewa ukuta mtafunane humo humo kwenu. Hata hawa waswahili humu JF ambao hujifanya kuwa na uchungu sana na Waarabu, ukifuatilia kwa makini utakuta wako busy kutafuta kipato huko Buza...
  4. Weka caption kwenye picha hii kutoka Monduli

  5. Picha: Rais Samia kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali...
  6. Picha: Jinsi Lebanon kunawaka moto ya mabomu ya Israel

    Lebanon wanaendelea kupokea adhabu kwa ajili ya Hezbollah... Three civilians were killed in an Israeli strike on a residential building in the south Lebanon city of Nabatiyeh this evening, a Lebanese security source says. “Three civilians dead in the Israeli strike, including two women,” a...
  7. K

    Kwa picha hii. Je, ni grade ya ngapi katika zile grade nne za bawasiri?

    Samahani wa ungwana ni mara ya tatu tena nakuja kwenu. Bado nauguza vidonda nilivyovipata huko nyuma kwa matibabu ya bawasiri yasio sahihi. Nataka nikipona vidonda niende hospital kwa matibabu zaidi lkn. Kilichonileta kwenu tena ni hii picha ambayo nimewaletea wale watalaamu wa kujua aina za...
  8. Picha ya Siku, imepatikana kwenye Msiba wa Lowassa

    Huyu ni kiongozi wa Taasisi ya Mama ongea na Mwanao Steve Nyerere, akisaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Lowassa, huku akilindwa na Mgambo wa UVCCM, wanaofahamika kama GreenGuard.
  9. Ziara ya Rais Samia Nchini Norway baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, Februari 13, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi...
  10. M

    Picha: Aliyemtakia hayati Lowassa kuwa Ikulu sio wodi ya wagonjwa akitinga Karimjee kwa mbwembe

  11. Picha: S2kizzy ajipaka rangi kwenye kucha

    Producer mkali na mwenye Hits za kutosha kwenye kiwanda cha BongoFleva "S2kizzy" amejipaka rangi kwenye kucha zake. Angalia picha hapa, Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  12. Hii picha imepigwa vipi? Mbona haieleweki?

    Tazameni hapo ubaoni. Ina maana mwalimu anatumia shoto kuandika? Mola atusaidie tu
  13. Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

    Wajuzi wa usomaji wa picha na matukio, hapa namuona madame president ameketi pamoja na ndugu Papa ila kuna tukio sijalielewa kwa mkao wa madame president kutokana na uwekaji wa mikono hapo kwenye meza. Nahisi kama kuna mtu anaapishwa hapa
  14. Master Jay achukizwa na wanaopiga picha misibani

    Mtayarishaji mkongwe wa muziki, Master Jay awavaa baadhi ya watu wenye tabia ya kwenda misibani na kuanza kupiga picha na ku-shoot videos kisha ku-post kwenye mitandao yao ya kijamii. Kupitia andiko lake ameonesha kutofurahishwa na tabia hiyo kwa kuhoji; "Hivi mnaoenda kwenye misiba na kuanza...
  15. Picha: Rais Samia akutana na Papa huko Vatican

    Rais Samia Suluhu amekutana na Papa Francis mjini Vatican. Angalia picha hapa, VIDEO: TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA Picha - Mwananchi Written by Mjanja M1 ✍️
  16. Uzi wa picha maalumu za Drama za kikorea za zamani Tupia ya kwako!!

  17. J

    Mjadala: Ubovu wa Barabara za Mtaani kwako: Je, viongozi wanawajibika?

    Hali ya Barabara za Mtaani kwako ikoje na je, Viongozi wa eneo lako na Mamlaka nyingine zinazohusika zimewajibikaje kuondoa changamoto zilizojitokeza? Ungana nasi katika Mjadala wa XSpaces ya JamiiForums hapo Januari 25, 2024 kuanzia Saa 10:00 jioni hadi 12: 00 jioni Kifukia mjadala bofya...
  18. Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu. BoT fanyeni haraka wazo hili. === Mhe. Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii...
  19. Unajifunza nini kwenye picha hii?

    Kuna kitu cha kujifunza kutoka kwenye hii picha. picha kuna muda zinatabiri Mambo ya, mbeleni
  20. Majaliwa: Suala la Picha ya Rais Samia kuwekwa kwenye fedha litajadiliwa

    Akijibu hoja ya Ng'wasi Kamani kuhusu kuwekwa kwa picha ya Rais Samia kwenye fedha zetu Bungeni leo, PM Majaliwa amesema suala hilo litajadiliwa kwa kina. "Maamuzi ya kuweka picha kwenye noti mara nyingi yanafanywa na kiongozi mwenyewe kwa kushauriana na Benki Kuu, kwa kuwa umelileta hili na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…