Zama hizi za mitandao ya kijamii, tunaishi kwenye ulimwengu wa aesthetic friendships – zile picha za kikundi cha marafiki wakiwa kwenye vinywaji, sherehe, au safari za kifahari wakitabasamu kana kwamba maisha yao yote ni perfect. Lakini swali linabaki: Je, marafiki wa namna hii ni wa kweli...