Baada ya kusoma na kuangalia baadhi ya blogs zinazoonesha udhalilishaji wa Dada zetu Hapa Tanzania, nikaona bora na mimi nitoe somo kidogo,
Somo langu si kubwa sana lakini ni la Muhimu sana kwa wasichana wanao jiheshimu na kutaka kulitunza Hekalu takatifu, (mwili ulio umbwa na kubarikiwa na...