pickup

  1. Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  2. B

    Kubeba majeruhi kwenye gari za wazi (Pickup) badala ya gari za wagonjwa (ambulance) kwenye tukio la kuanguka ghorofa K/Koo ni sahihi?

    Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance Sasa najiuliza Kariakoo...
  3. C

    Inahitajika Pickup ya Left Hand Drive

    Wanabodi Mwenye kumjua yeyote anayeuza pickup ya Left Hand Drive tafadhali tuwasiliane.
  4. P

    Pickup Nissan patrol for sale

    Nauza Nissan Patrol haina shida yoyote ni kuwasha na kuondoka Bei 9,000,000 Mawasiliano whatsap 0626333300
  5. Mafundi pikipiki mwaweza geuza pikipiki kuwa Pickup

    PIkipiki yaweza pakia watu wengi na mizigo mingi unachotakiwa ni kutengeneza sehemu ya kubebea mizigo kushoto na kulia chini kwenye pikipiki halafu abiria wakaa juu hadi 10.
  6. Car4Sale Inauzwa pick-up double cabin Toyota Hilux JTD5 2.4 Diesel

    Pick-up double cabin White Imported from: great britain Manufactured: 2004 Manual 2kd D4d Current location : moshi Whatsapp /call 0713683422 Owner is a doctor Reason for selling: requires automatic same vehicle due to left leg injury Price: 28 million
  7. NAUZA:Toyota Hilux ( Double-cabin)

    HABARINOšŸ‘‹ Huu 'mtambo' unavutia na hauna changamoto kubwa za kuumiza kichwa. Gari ipo katika Hali nzuri. Inapatikana Dar. SIFA: Toleo la 1994, Cc 2809, Engine 3L, Imetembea km.202,000. Siti nzuri na ina Radio. HAIJAWAHI KUPATA AJALI. Bei Tshs.15 MILIONI tu. CHANGAMOTO: Lens ya Indicator...
  8. Gari aina ya toyota landcruiser inahitajika!!!..

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni...
  9. ENGINE YA TOYOTA LANDCRUISER AINA YA 1HZ INAHITAJIKA!!!..

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu (2,500,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Shukrani.
  10. Landrover 110 - 300 series inahitajika!!!

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni tatu kamili (3,000,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Kama una bodi...
  11. Nahitaji gari used Landcruiser

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni...
  12. Engine ya Toyota Landcruiser ya 1HZ inahitajika

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji engine ya Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu (2,500,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Shukrani.
  13. Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni tatu kamili (3,000,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Kama una bodi...
  14. Nahitaji engine ya LandRover 110 - 300 series

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji engine ya Landrover 110 - 300 Series. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni moja na nusu (1,500,000/=) Shukrani.
  15. Ninahitaji used Landcruiser Hardtop

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…