📌 P.I.D: Ugonjwa wa Maambukizi ya Via vya Uzazi kwa Wanawake
⚠️ Je, unajua kuwa PID inaweza kuathiri afya ya uzazi ikiwa haitatibiwa mapema?
🔴 Dalili za PID:
1️⃣ Maumivu makali chini ya tumbo
2️⃣ Uchungu wakati wa tendo la ndoa
3️⃣ Homa na uchovu
4️⃣ Kutokwa na uchafu usio wa kawaida ukeni
5️⃣...
Wakuu katika hali ya kushangaa! Mwanamke karudi na Azuma za siku tatu na anti pain kama matibabu ya PID??
Sasa nilichoshangaa kweli PID itibiwe na Azuma ya siku tatu. Nielewavyo mimi PID ni ugonjwa unaotokana na complication ya UTI kwa maana hiyo hata matibabu yake ni ya kirahisi Dozi huenda...
Habari wakuu
Rejea kichwa tajwa hapo juu,kuna dada anasumbuliwa na huu ugonjwa anawashwa ukeni na tumbo linauma kwa chini.
Naomba dawa nzuri itakayomsaidia.
P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.
P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS).
Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa...
Habari samahani wakuu first mimi ni mjamzito wa 5weeks nilienda kupima utrasound nikaambiwa na PID Sugu na UTI nimeandikiwa sindano saba za ceftriaxone pamoja na co-amoxiclav tables nazo za siku saba ambayo nimeze baada ya kumaliza sindano sasa naombeni msaada kuwa hizi dawa zitanisaidia kupona...
Habari samahani wakuu first mimi ni mjamzito wa 5weeks nimeenda kupima utrasound nikaambiwa na PID Sugu na UTI nimeandikiwa sindano 7 za ceftriaxone na pamoja na co-amoxiclav tables ya siku saba nimeze baada ya kumaliza sindano saw itansaidia kupona kwa haraka na ujauzito wangu hautapata madhara?
Jambo watanzania wenzangu!!
Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali.
NB: Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina, ama mambo dhahania, maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku...
Jana Alhamisi muda wa saa 5 usiku hivi nikiwa natafuta Station za Radio nikaangukia Kiss FM 98.9, niliposikia neno "PID" ikabidi nisikilize kidogo kinachoongelewa maana nami nipo kwenye uwanja huo huo wa mambo ya Afya..
Nilipigwa na bonge la mshangao kwa yale niliyokuwa nikisikia,, maana...
PELVIC INFLAMATORY DISEASE (P,ID),Ni maambukizi katika via vya uzazi wa mwanamke au mfumo wa uzazi wa mwanamke,,kwa kawaida maambukizi haya ynahusiana na mji wa mimba (uterus,shingo ya kizazi) (cervix,( fallopian tubes Mirija ya uzazi ya mwanamke ) na sehemu yanapozalishwa mayai haya ( ovarie)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.