Mitandao ya kijamii imetoa fursa kubwa sana kwa mtu yeyote ‘kwenda mjini’ chap. Hii ni orodha ya baadhi ya watu ambao kusingekuwa na intaneti, wasingepata umaarufu walioupata.
DKT. LOUIS SHIKA
Dkt. Louis Shika alijipatia umaarufu baada ya kutangaza dau la kununua nyumba za mfanyabiashara Said...
Taifa hili linaangamia kwa kuendekeza mambo ya hovyo na kuwapa umaarufu watu wa hovyo. Na ndiyo chanzo cha uchawa na machawa kuenea sana hivi sasa.
Huyu Peere Liquid alikabidhiwa bendera na serikali eti awe kiongozi wa mashabiki wa Taifa Stars ilipoenda kushiriki AFCON. Mambo ya ajabu...