Pierre Liquid ni mtu aliyejizolea umaarufu miaka miwili mitatu ya nyuma kwa mambo makuu matatu, kwa mtazamo wangu. La kwanza ni ulevi wake, la pili ni vichekesho vyake na la tatu ni mapenzi yake kwa watu.
Nitayafafanuwa zaidi post zifatazo, kwanza tushuhudie alivyosilimu:
Wakuu, kuna siku niliona mtu ameuliza hapa mahali alipo mchekeshaji maarufu aliyejipatia umaarufu wake kupitia mitandao ya kijamii, Pierre Liquid. Aisee huyu jamaa amelazwa Hospitali ya Muhimbili Mwaisela wodi namba 6 iko ghorofa ya pili.
Haijafahamika mpaka sasa mwama huyo wa kuzipiga Pombe na...
Chelsea imeanza mchakato wa kutaka kuwasajili mastaa wa Barcelona, Frenkie de Jong na Pierre-Emerick Aubameyang aliyewahi kufanya kazi Kocha Thomas Tuchel katika kikosi cha Borrusia Dortmund.
Aubameyang alijiunga ba Barcelona, February 2022 na anatamani kuendelea kubaki hapo lakini anaweza...
Nimekutana na hili bandiko mahali kwa kweli nimesikitika sana na pia nampongeza sana mke wake kwani wengine wangekimbia.
Huyu mama amekuwa bega kwa bega akimhudumia mume wake tangu augue hadi sasa huyu mama ni mzee na hajawahi choka na pia nimependa kwa jinsi akivokataa mme wake asichomolewe...
Naona akina Nyerere bila kujali yupi ni Original na yupi ni fake wameamua kuusaka ubunge kwa udi na uvumba mwaka huu.
Hata Makongoro Nyerere wakazi wenzio uliowaacha Mwananyamala Komakoma wanakukaribisha ugombee jimbo la Kinondoni kama itakupendeza.
Mungu aubariki uzao wa Mwenye heri Julius...
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Burundi hayati Pierre Nkurunziza unazikwa leo kwenye makaburi ya mji wa Gitega ,mji mkuu wa kisiasa ulioko katikati mwa Burundi
Hafla ya mazishi zinatarajiwa kuongozwa na Rais mpya Jenerali Evariste Ndayishimiye na wakuu wengine wa serikali.
Hayati Nkurunziza...
BADO AMELALA.
Wakati tunaendelea kufurahia kuzinduka kwa mchezaji wa Ajax ABDELHAK NOURI baada kuwa kwenye Coma kwa takribani miaka miwili akiwa amepoteza fahamu, tukumbuke pia kuna mchezaji mwingine 'Bado amelala'. Anaitwa Jean-Pierre Adams, nyota wa zamani wa PSG na timu ya taifa ya...
Alitawala kwa nguvu na hakuondoka mpaka Bunge limpe mshahara kwenye nchi masikini. Sasa jiulize yuko wapi leo. Hawa viongozi wetu wa Mungu watu wajue huwezi kujua kesho kitatokea nini!
Burundi's parliament has voted to pay $530,000 (£400,000) to President Pierre Nkurunziza and provide him with...
Habari zimethibitishwa kuwa Pierre Nkurunzinza wa Burundi alikuwa muathirika wa gonjwa hatari la COVID19.
Tuchukue tahadhari wandugu, gonjwa bado linatesa.
---
Burundi’s outgoing President Pierre Nkurunziza died of Covid-19, diplomatic sources in Bujumbura and Nairobi confirmed on Wednesday...
Rais Uhuru Kenyatta ameagiza bendera ya Kenya na ya Jumuia ya Afrika kupeperushwa nusu mlingoti kwa heshima ya marehemu Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kuanzia kesho Juni 13 hadi siku ya mazishi
Rais Pierre Nkurunziza alifariki Juni 9 katika hospitali ya Karusi Fiftieth Anniversary baada ya...
Burundi yatangaza siku saba za kuomboleza kifo cha Rais Nkurunziza
Serikali ya Burundi imetangaza maombolezo ya kitaifa ya siku 7 kufuatia kifo cha rais wake Pierre Nkurunziza, aliyeaga dunia Jumatatu akiwa na umri wa miaka 55 kutokana na mshituko wa moyo.
Tangazo la serikali kwenye Redio na...
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia.
===
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo...
Rais anayemaliza muda wake Nkurunzinza pamoja na mkewe wamepimwa na kukutwa na Virusi ya Corona
=======
It is now emerging that Burundi’s President Pierre Nkurunzinza could after all have contracted Coronavirus (Covid-19).
Sources in Bujumbura close to Presidency indicate that soon after the...
Hali ya taharuki imetokea katika mji wa Meerut baada ya kundi la nyani kumvamia mfanyakazi wa maabara aliyekuwa amebeba sampuli za damu za wagonjwa wa COVID-19.
Nyani hao walikimbia baada ya kuiba sampuli tatu na kuzitafuna wakiwa juu ya mti. Tukio hili lilirekodiwa na camera ikimuonyesha...
MCHEKESHAJI Pierre Liquid maarufu kwa vibwagizo vya kama utabaki kileleni, mama nakufaa, amekutwa na corona.
Akizungumza leo Jumapili na Mwanaspoti, Pierre ambaye jina lake ni Peter Mollel, amesema amebaini kukutwa na ugonjwa huo juzi.
Akizungumza kwa njia ya simu Pierre amesema kwa sasa yupo...
Umaarufu ni kama uhai...wakati ukiwa juu unakuwa hai..ukishuka unakata roho ya umaarufu unabaki kuwa wa wakaida
Huyu ndugu yangu mtanzania namshauri kwa upendo wakati huu autumie vizuri. Nampomtizama pierre nakumbuka hadithi ya yule punda aliyekuwa amembeba Yesu kule Yerusalem.
Yule punda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.