CCM waliamini kabisa kuwa kuwafunga wapinzani especially Mbowe, kutadidimiza upinzani na CCM itatawala kwa raha.
Mungu si athumani, umetokea ukame, maji na umeme ni shida Tanzania nzima, serikali ni Kama ime-panic hajui la kufanya. Wananchi Wana hasira Sana juu ya upatikanaji wa maji na umeme...