Salaam ndugu zangu: Leo asubuhi nimepita kwa bwana Millard Ayo, nikakutana na hii clip ya bwana Petro Magoti (mkuu wa wilaya ya Kisarawe) akieleza juu ya sheria pamoja na utejelezaji wake katika wilaya ya Kisarawe.
Nimewaza sana na roho imezidi kuniuma sana juu ya hekima ya hawa viongozi wetu...