Salamu kwenu wakuu,Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125.
Tatizo lake ni pale ninapowasha taa kubwa ya mbele baada ya dakika kadhaa pikipiki inazima, na inapotaka kuzima nikizima taa inaendelea kuwa fresh.
Nilienda kwa fundi akasema tatizo ni rectfire, nikabadili rectfire lakini tatizo likabaki...