Habari Wana jamii Forums.. samahani nilikuwa nahitaji kujua changamoto ya hizi pikipiki ndogo maarufu kama 110 zipi?
Upande wa spea na ubora wa pikipiki zenyewe kwa sababu sijawahi kumiliki haina hii.. asanteni na karibun kwa michanganuo yenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.