1. Nimewasikia mkijinadi kukemea maadili kwenye Idd Al Adha, . Kumomonyoka kwa maadili si ushoga na ngono. and the like
2. Wizi, Rushwa , ukatili , uongo na vitu kama hivyo ni mmomonyoko wa maadili tena mkubwa
3. Samia anagawa pikipiki za rushwa ya wazi hammkemei, halafu mnasema nyie ni...
Nashangaa sana na inashangaza sana
Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake
Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!
Rais Samia kwa jina lake na pesa yake binafsi amegawa pikipiki 18,200 zenye nembo yake ambazo thamani yake ni TZS 54 bilioni. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.