Utawala wa CCM ni aibu kwa Afrika, ni aibu kwa Dunia.
Ulimwengu wa leo ambapo Dunia imestaarabika na kutambua kuwa wewe kuwa kiongozi haimaanishi umekuwa binadamu zaidi, mwerevu zaidi, mwananchi zaidi, mzalendo zaidi au na utu zaidi, bado CCM haijalitambua hilo.
Wakati Dunia ya wastaarabu...