Lamomy aliniomba nipike pilau ila mambo yakaingilia leo nikapata nafasi kwanza nialianza kuanda viungo pamoja na kitunguu swahumu, hoho,karoti na kitunguu maji
Wakati uho nilikuwa nimekata nyama ndogo ndogo ikiwa inachemka ilikuwa nusu na robo uswahili wanaita robo tatu
Nikawa nasubir...
I hope mko poa
Wale wasiotumia nyama nyekundu na wapenz wa samaki pitien hapa
Sikunyingine tujifunze kupika pilau la samaki 😀😀
Mahitaji
Samaki
Mchele
Unga wa pilau/pilau masala
Binzari nyembamba
Giligilani ya majani
Mafuta ya kupikia
Vitunguu swaumu na vitunguu maji
Chumvi na viazi...
Natumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu
Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze
MAHITAJI
1)Mchele kilo moja.
2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu
3)kitunguumaji,kata kata wastani
4)kitunguu swaumu kilichosagwa4)viaz mviringo vya wastani...
Swalama ndugu zanguni?
Huyu mwamba anapika sana pilau, sijui kwa sasa yuko wapi?
Mwanzo alikuwa soko la Kibasila Kariakoo. Soko lilipovunjwa kupisha mradi wa Reli ya SGR akahamia Suwata.
Sasa Suwata pamevunjwa sijui kahamia wapi huyu mjuzi wa mapilau nyama na kachumbari iliyochangamka?
Miaka 90 kushuka chini swala la pilau na biriani mpaka kuwe na sherehe au sikukuu ndio chakula kinapikwa.
Watu walikuwa wapo tayari kukaa na njaa ili wale sana chakula hiko.
Kwa sasa imekuwa fujo kila ijumaa ni fujo yani ukienda kwenye harusi walaji wa pilau hawapo kabisa na unaweza usipakuliwe.
Kuna vitu na mambo yanayopendwa sana hapa duniani ambavyo sio dhambi lakini ni kuwa hivyo vyote havitakuwepo. Kwa mfano sisi tunaopenda misosi mitamu kama ile ya Shishi food, white rose na Marry brown ni kuwa haitakuwepo. Kitu nachosikia kinatajwa tajwa ni maziwa na asali. Pia huenda kikawepo...
Watu hawana raha kabisa. Maana hata maharage tu yamefikia elfu tatu na ushehe.
Watu wana maisha magumu na wanajiona kama wakimbizi hapa nchini kwao.
Hii salamu haisaidii
Hali zenu wana mapishi, natumai mpo salama. Wiki iliyopita nilionyesha namna nilivyopika biskuti za tangawizi. Leo nawashirikisha namna ya kupika pilau ya nyama na kachumbari. Hiki chakula kilisindikizwa na white sauce niliyopika h a p a.
Ukitaka kuangalia video ya haya mapishi unaweza...
Kwa kipindi Cha miaka minne nimekuwa nikifanya utafiti mdogo na muhimu, ambapo nilifanikiwa kuhoji watu 500. Pamoja na mahojiano hayo pia nilikula sehemu 100 tofauti tofauti.
Katika hitimisho, nimefanikiwa kukubali kabisa pasipo shaka kuwa pilau na biriani misifa wako ligi mbili tofauti, pilau...
Mko poa? Kama ndio jambo jema na Nafurahi kwa ajili yenu wote kuwa na afya.
Imekuwa ni kawaida kama sheria kwa familia nyingi za hapa kwetu Tanzania ikiwa ni siku za sikukuu chaula ni pilau, ndizi, biriani nataka kubadilika jamani,
Naomba mnisaidie chakula kingine kitamu cha kufanya siku ya...
Nichukue nafasi hii Kuwapongeza Watoto Wote wa Kikatoliki ambao leo wanapata Komunio yao ya Kwanza.
Tafadhali Wazazi wa hawa Watoto GENTAMYCINE nawaomba hebu nipeni basi Code ili nije Kula nanyi hiyo Mipalau yenu mlioipika ili niokoe Bajeti yangu ya Chakula kwa leo Jumapili.
Nijibuni upesi kwa...
Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest.
Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa.
Nilitaka nipige na kusepa lakini wahenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka...
Nimeona taarifa ya wizara kua chanjo itaanza kutolewa Agost 3
Nashauri Serikali yetu pendwa chini ya Rais samia, wahakikishe kwenye vituo vya chanjo kuna Chakula
Napendekeza Pilau na nyama
Upande wa nyama wenyewe kama ikiwepo ya kuku itapendeza zaidi lakini wa kienyeji au kama kuku itakua ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.