Wakuu
Machawa wameunganisha nguvu mpaka kisiwani na kushiriki Pilau Day. Hawa wanasiasa wanachukulia poa uchawa lakini baadae utawageukia baada ya wananchi kuamua kubadilika na kuupizia porojo zao
==
Vijana wa ankali (Dkt. Mwinyi) kwa kushirikiana na Generation Samia (GEN S) Washirikiana...