Pilipili ni ndugu zetu toka katika falme za mimea ( plant Kingdom).
Kama ninavyosema, na leo narudia, Kila kiumbe kina roho na mwili, hivyo hakina kazi moja tu, kila hicho kina kazi zaidi ya moja.
Pilipili ni kiungo na ladha katika chakula. mbali na vitamini nyingi ndani yake, Pia ni dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.