Baada ya kuhitimu Shahada ya Sanaa (BA)2011 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), nilitafuta kazi bila mafanikio. Nikaona nisome Stashahada ya Uzamili katika Elimu nikamaliza 2014 ili nipate ajira ya ualimu, sikufanikiwa kuipata. Mwaka 2016 nikaanza kusoma Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu Huria...
Nilishuhudia enzi za kujifukiza na kula malimao, ndimu na pilipili kichaa wizi mkubwa shambani kwangu wa mazao hayo.
Tangu Mwendazake aondoke, sasa kila kitu hakina soko /soko limekuwa kama limeisha/limepungua baada ya advocate wa tiba hiyo kuondoka.
Asante Bwana Yesu siibiwi tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.