Kwa mliokwenda nchi za nje mfano bara la asia uwezi kuziona hizi pilipili za mwendokasi.
Mfano China ni walaji wazuri wa pilipili, ukikutana nao sokoni uwezi kuona wananunua hii jamii ya pilipili kwa jina mwendokasi. Wao hujikita na pilipili ambazo sio wageni tukiona kwenye mapishi yao na...
Ndugu wanajamvi naona kilio kwa wakulima wa nyanya na nyanya chungu, very soon naanza kutoa mzigo wa pilipili shambani maeneo ya kilosa, vipi kwa upande wa pilipili sokoni imesimamaje.
Wadau mwenye taarifa anijuze