Auto Pilot, kwa uelewa wangu tafsiri isiyo rasmi, nchi inajiendesha.
Kwa sababu gani nasema hivyo. Ni kama ifuatavyo.
1. Kuhusu tozo. Mheshimiwa waziri wa fedha na Mipango ndugu Mwigulu Nchemba alisema mama amesikia kilio cha Watanzania ila cha ajabu mpaka leo hakuna kinachoendelea kuhusu...