Habari zenu wadau wa Jamiiforums, matumaini yangu kuwa hamjambo, wakati tukielekea kuumaliza mwaka 2018 kuingia 2019 na zikiwa zimebaki siku chache, nikaona ni vyema niwatangazie kuwa nauza vitu tajwa hapo juu.
Fridge aina ya PINETECH milango miwili = Tsh420,000(Mazungumzo yapo), Kabati jeusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.