Na. Norbert Mporoto.
Tanzania.
Mei 15, 2021
Uhuru wa taifa la kenya ulibisha hodi kwa furaha, lakini utawala wenye mizizi na mabaki lukuki ya chembechembe za kikoloni uliitia doa historia ya taifa hilo. Miaka miwili mara baada ya uhuru, historia iliandika kifo cha kwanza cha mwanasiasa...