pitch

Pitch is a perceptual property of sounds that allows their ordering on a frequency-related scale,
or more commonly, pitch is the quality that makes it possible to judge sounds as "higher" and "lower" in the sense associated with musical melodies.
Pitch is a major auditory attribute of musical tones, along with duration, loudness, and timbre.Pitch may be quantified as a frequency, but pitch is not a purely objective physical property; it is a subjective psychoacoustical attribute of sound. Historically, the study of pitch and pitch perception has been a central problem in psychoacoustics, and has been instrumental in forming and testing theories of sound representation, processing, and perception in the auditory system.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    Mbona ulaya hawalalamikii hizi Pitch feeling

    Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford kufanya mazoezi Au labda Babda Barca vs Madrid Madrid aende Sportfy Stadium kufanya pitch feeling Hii...
  2. Anti-tozo

    Ubora wa Pitch Benjamin Mkapa

    Jamani jamani pamoja na mahela yote tunasikia yakitangazwa uwanja kufanyiwa maboresho ni sawa na hamna kitu ya ile pitch pakinyesha mvua tu maji yanatuama uwanja matope na kuteleza tunaweka afya za watu lehani kimzaha mzaha tuu.
  3. Mshana Jr

    Strikers leaving the pitch

    End of era! Or new begining?🤔🙇🏿‍♂..
  4. LIKUD

    Said Mwamba Kizota has come back to life as Kibu Dennis and Mohamed Mwameja has come back to the pitch as Djigui Diarra

    Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania ambae ndio bora kabisa kuliko wachezaji wote basi kwa haraka sana nitamtaja Said Mwamba Nassoro Kizota...
  5. LIKUD

    Said Mwamba Kizota has comeback to life as Kibu Dennis and Mohamed Mwameja has comeback to the pitch as Djigui Diarra.

    Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania ambae ndio bora kabisa kuliko wachezaji wote basi kwa haraka sana nitamtaja Said Mwamba Nassoro...
  6. LIKUD

  7. LIKUD

  8. T

    Tunauomba uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukarabati wa uwanja wa Jamuhuri mkoani Morogoro ili mechi za Ligi Kuu zirudi kuchezwa mkoani hapo

    Amani iwe nanyi. Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa katika ardhi ya nchi ya Tanzania yenye wapenzi wengi wa Soka. Wachezaji wengi mahiri wametoka katika mkoa wa Morogoro. Ni muda sasa umepita toka dimba la Jamuhuri lilipofungiwa kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu nchini Tanzania, kutokana na...
Back
Top Bottom