pius msekwa

Pius Msekwa (born 9 June 1935) was the Speaker of the National Assembly of Tanzania from April 1994 to November 2005. He chaired the CPA Executive Committee from 1999 to 2002. He later became vice-chairman of the ruling party Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    LGE2024 Pius Msekwa aeleza kutofurahia ushindi wa 99% wa CCM, asema anafurahia tu pale uchaguzi unapomalizika na pande zote zinaridhika

    Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu mengi. Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo. Spika mstaafu ameyasema hayo...
  2. benzemah

    Pius Msekwa akoshwa na uongozi wa Rais Samia

    Spika mstaafu wa Bunge, Mzee. Pius Msekwa, amesema maridhiano ya kisiasa vya yaliyofanywa na serikali dhidi ya vyama upinzani, yamedumisha utulivu na kuondoa migogoro ya kisiasa huku akisisitiza njia sahihi ya kutatua kero za muungano ni njia ya mazungumzo. Msekwa alitoa kauli hiyo nyumbani...
  3. Erythrocyte

    Msekwa kudai kwamba Salum Jecha alifuta uchaguzi wa 2015 peke yake ni Uongo

    Wote tunafahamu kwamba Salum Jecha alifuta matokeo ya Urais ya 2015 baada ya Mgombea wa chama chake CCM aliyeitwa Mohamed Shein kuangushwa kwa kishindo na Gwiji Maalim Seif, huu ndio ukweli na ndivyo dunia inavyofahamu . Salum Jecha alifuta uchaguzi ule kwa Maelekezo ya CCM, hii maana yake ni...
  4. J

    Kati ya Spika mstaafu Pius Msekwa na Spika Dkt. Tulia nani anasema ukweli kuhusu Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18?

    Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza. Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa...
  5. J

    Kati ya Spika mstaafu Msekwa na Halima Mdee nani yuko sahihi juu ya uhalali wa Wabunge 19 wa CHADEMA?

    Spika mstaafu mzee Msekwa anasema wale wabunge 19 walioko bungeni yaani Halima Mdee na wenzake siyo halali waliingia bungeni kinyume cha katiba kwani siyo wanachama wa Chadema. Halima James Mdee anasema wao ni wabunge halali wa Chadema kwani wako bungeni kwa baraka za chama chao. Hili swala...
  6. T

    Pius Msekwa: Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile

    Kutokana na Spika Mstaafu kueleza kuwa Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile. Kwa vile bungeni kuna wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaoharibu pesa za wavuja jasho kwa kulindwa na mtu mmoja, napendekeza Spika ashitakiwe hata kwenye Mahakama ya...
  7. Q

    Pius Msekwa: Katiba lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo

    "Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika. Lazima katiba nayo ibadilike. Katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo, kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa ITV Dakika45.
  8. Baraka Mina

    Katibu Mkuu CCM, Daniel Chongolo akutana na kufanya mazungumzo mzee Pius Msekwa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba na kumuahidi kukitumikia, kukisimamia na kukiimarisha zaidi Chama Cha Mapinduzi. Chongolo amemhakikishia Mzee Msekwa...
  9. M

    Rais Kikwete amemteua Pius Msekwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi

    Rais JMK amemteua Spika Mstaafu Mh. Pius Msekwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Msekwa mwenye umri wa unaokadiriwa 80+ atashikilia cheo hicho kwa miaka 5 kuanzia 2nd, May 2015. =============== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu...
Back
Top Bottom