Pixie Orange ni yale machungwa tunayaona kwa Super Market yakitokea either Egypt au South Africa au Zimbabwe. Hizo nchi tatu ndio wazalishaji wakubwa wa Pixie Orange Africa.
Yale machungwa ya Muheza ukweli usemwe sio machungwa ya kibiashara yaani Comercial breed, yale ni ya kulishana sisi...