Habari za asubuhi wana jamvi, bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Najua wengi mtakua mashuhuda wa mada tajwa hapo juu. Binafsi ni zaidi ya mara moja nakutana na gari new model kabisa, mfano leo nimekutana na Prado 2020 lakini chaajabu plate namba yake inasoma A...
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa.
Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa namuona huyo mtu ni limbukeni mshamba mmoja tu.
Hata hivyo hata wao ulimbukeni ukiwaisha uwa...
Naomba kujua huchukua wastani wa muda gani plate number moja mfano kwa magari yaliyooanza na namba "D" kujaa kabla ya kuingia namba "E" iliyoko sasa?
Kuna mdau alinunua gari mwaka 2015 (kwa maelezo yake) na gari yake ni namba "D" kitu ambacho kidogo kimenishangaza kuona namba hiyo ipo tangu...
Naona watu wengi wanalalamika Jeshi la polisi kupiga marufuku plate namba za 3D. Katika hali ya kawaida na mtu yoyote mwelevu hawezi kimbilia kuweka namba za 3D, ili hali akitambua
1. Plate number zina viwango ambazo zimethibitishwa na TBS pia.
2. Plate number zenyewe bila kuwekewa 3D zile...
Habarini wadau!
Hivi kuna haja gani kuendelea kuchaji pesa nyingi kwa ajili ya kuweka jina kwa (plates namba) now ni milioni 5 kwa muda wa miaka mi3
Kama muitikio mdogo punguzeni gharama ili Serikali yetu ipate mapato zaidi ukifikiria sana Serikali yetu kuhusu kodi kama haina shida nayo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.