Habari
Magari ya mizigo number plate zao ni njano je kwenye kadi huwa zinaandikwa private au huwa unabadilisha kuwa commercial lakini number plate inabaki ya njano na kama linaingia private kwenye kadi unalipaje mapato au huwa hayalipiwi au unabadilisha kwenda commercial ndio unalipia mapato...