plate number nyeusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SACP Ng'azi plate number nyeusi ni kwa ajili ya majeshi, tutawasaka watu binafsi wanaozitumia

    Kamanda wa kikosi cha usalama barabrani SACP Ramadhan Ng'azi, amesema wanaanzisha msako kwa ajili ya watu wote wanaotumia kibao cha namba za usajili zenye rangi nyeusi(PLATE NUMBER), kwani rangi hiyo ni mahsusi kwa watu wa majeshi na sio watu binafsi. Ameyasema hayo leo akiongea na wanahabari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…