playstation 4

  1. M

    Msaada jinsi ya kukaba kwenye FIFA 24 ya PS4

    Habari za muda huu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, naomba msaada wenu kwa wale mafundi wa playstation 4, jinsi ya kukaba kwenye fifa 24 au 23, nimegundua nikiwa nacheza hili game wachezaji wangu hawakabi, ni kama wanamsindikiza mchezaji mpaka golini, nimejaribu kuangalia...
  2. Abubakari Mussa

    Ps4 pads zinauza

    Ndugu zangu , siku ya leo nawaletea SONY PS4 PADS Full ku enjoy Hii inaenda kwa 70,000/= tuuuuu Karibu sana Tupo kariakoo mtaa wa aggrey/ndanda Tupigie au wasap - 0659588492 Maongezi yapo , Jumla na reja reja
  3. Isma75

    PS4 Playstation 4 Fat inauzwa

    Inakuja na; 2 pads FIFA 23 installed Cables zote @ 550,000/= Interested CALL/SMS/WHATSAPP 0653 835790 0754 935991 DAR FREE MARKET
  4. Castr

    INAUZWA Fat Playstation 4

    Hard Disk: 500GB Model: CUH 1003A Build: PS 4 Fat Games: Call of Duty, Pes 20, Need for Speed, GTA, Batman Injustice 2 na Mortal Kombat. Controller Pad: No Asking Price: 580,000 Location: Dar es Salaam Contacts: 0757143214/ PM NB: Mashine inatumia system ya HEN
Back
Top Bottom