playstation

  1. Younguther

    Aina za playstations

    Habari za wakati huu wana tekinolojia, nahtaji kuelewa utofauti na ikiwezekana ubora kati ya hizi aina za playstations 4. Ps4 slim,ps4 FAT, ps4 version 9 na ps4 pro, chipped na non chipped. Nahitaji kufungua biashara ya playstation hivi karibuni, mnanishauri nichukue ipi kati ya hizo?
  2. M

    Msaada jinsi ya kukaba kwenye FIFA 24 ya PS4

    Habari za muda huu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, naomba msaada wenu kwa wale mafundi wa playstation 4, jinsi ya kukaba kwenye fifa 24 au 23, nimegundua nikiwa nacheza hili game wachezaji wangu hawakabi, ni kama wanamsindikiza mchezaji mpaka golini, nimejaribu kuangalia...
  3. Bob swagger

    Playstation 3

    Naomba wajuzi wa machimbo ya playstation 3 mm nipo mkoani katavi naogopa matapeli
  4. J

    Biashara ya playstation

    Habarini wakuu Mimi ni kijana wa miaka 23 lengo la Uzi huu ni kuomba msaada jinsi ya kuanzisha biashara ya playstation. Nina plani za kuanzisha biashara hii baada ya kumaliza masomo yangu ya elimu ya juu hapo mwezi wa saba baada ya kujikusanya hela ya boom Nina kama M1.5 .hivyo nahitaji...
  5. BRUNOPACINO

    Ajira Mwanza

    KAZI YA KUWEKA GAMES KWENYE PC/PS3/PS2 ANAHITAJIKA MFANYAKAZI MWANZA AWE NAVIGEZO VIFUATAVYO : 1.Awe Anaishi maeneo ya mwanza mjini,mitaa ya dampo,pamba,lumumba,uhuru nk 2.Awe na ufahamu wa kuweka game kwenye PC,na PS 3.CV yenye wadhamini halali mwenye elimu yakutosha,na referees wanaopatikana...
  6. Mhaya

    Rockstar kusitisha matoleo mapya ya GTA games, GTA 6 ndio ya mwisho

    Wasanidi wa kampuni ya Rockstar wanapendekeza kwamba Grand Theft Auto 6 (GTA 6) inaweza kuwa toleo la mwisho katika mfululizo wa Grand Theft Auto tutakaotumia maishani mwetu. 🎮 🌟 Wananuia kusasisha mchezo (refresh the game) kila mara kwa misheni mpya, maeneo na miji mipya kwa njia za mtandaoni...
  7. 2 of Amerikaz most wanted

    USHUHUDA: Nilivyonusurika kufa kwa kujirusha Jengo la Mwanjonde, Malimbe Cumpus

    Ni miaka kadhaa imepita baada ya kunusurika kujitoa uhai wangu. Chanzo cha hayo yote ni maisha duni Niliyoyapitia kipindi nipo pale cumpus, nilikuwa naipambania Diploma yangu ya kwanza. Sasa baada ya kukosa msaada home yani kama nilisuswa hivi hasa ikanibidi niingie mtaani kusebenza nipate...
  8. Chance ndoto

    Nauza playstation 3

    Wadau. Nimebaki na kichwa tu cha Mini playstation 3 bila pad, ina cable ya HDMI na ya kuchaji pad tu. ni used in best condition300,000 tu. Karibuni sana. 0783985530.
  9. Isma75

    PS4 Playstation 4 Fat inauzwa

    Inakuja na; 2 pads FIFA 23 installed Cables zote @ 550,000/= Interested CALL/SMS/WHATSAPP 0653 835790 0754 935991 DAR FREE MARKET
  10. Mr_S

    INAUZWA Sony Playstation 3 (PS3) inauzwa

    Sony PlayStation 3 (PS3) inauzwa. Imetumika kwa mwezi mmoja (1) *Ina HDD yenye 250 GB. *Inakuja na padi mbili (2) *Inakuja na waya wa power, waya wa HDMI na nyaya mbili (2) za kuchajia padi. *Ina games tisa (9) ndani: AC: Black flag, AC: Rogue, Metal Gear Solid, Tomb rider, Injustice, Blur, PES...
  11. Mr_S

    INAUZWA Ofisi ya PlayStation (Gamecentre) inauzwa

    Nimepata dharura kwahiyo nimeamua kuuza ofisi yangu ya PlayStation (Gamecentre). Ina vitu vifuatavyo: (kila kitu kimetumika kwa mwezi mmoja) Bei hazina maongezi (prices are fixed) 1-Sony PlayStation 2 inatoka kwa TSh 100,000 pamoja na memory card, flash, padi mbili na nyaya zote. 2-Sony...
  12. NetMaster

    Najuta kumpa ndugu yangu PS (playstation), kawa kama Teja

    Kawa kama zombi Niliwahi kununua playstation Kwa mwanafunzi flan hivi wa chuoni alikuwa anadaiwa ada na hana pesa, aliniuzia hio mashine Kwa laki 3 na nusu, lengo langu lilikuwa niiuze hata kwa laki 5 maana hii mashine inauzwa takribani laki 8 madukani, kazi zilinitinga nikawa nimeiweka tu...
  13. Mr_S

    INAUZWA Sony Playstation 3

    Sony Playstation 3 inauzwa. Imetumika kwa muda wa miezi minne tu. ->HAINA TATIZO(KIPENGELE) chochote ->Imechipiwa na ina game zaidi ya 6 ndani. ->Nakupa na padi mbili, waya wa kuchajia padi na waya wa power. ->Bei: 280,000/- Kwa mawasiliano nicheki, simu/WhatsApp: +255 688 841884
  14. Y

    Mtaji wa 4.5m unatosha kuanzisha sehemu ya kuchezesha playstation games?

    Wasalam wanajukwaa. Mimi ni muajiriwa nimejichanga nikapata huo mtaji, nilikuwa naomba ushauri na namna ya kuanzisha biashara husiku hasa kwa Dar. Asanteni
  15. Castr

    INAUZWA Fat Playstation 4

    Hard Disk: 500GB Model: CUH 1003A Build: PS 4 Fat Games: Call of Duty, Pes 20, Need for Speed, GTA, Batman Injustice 2 na Mortal Kombat. Controller Pad: No Asking Price: 580,000 Location: Dar es Salaam Contacts: 0757143214/ PM NB: Mashine inatumia system ya HEN
  16. Muhsin Snr

    Msaada namna ya kuanza maisha

    Habarini ya Jumapili wakuu, mimi ni kijana wa miaka 23 nipo sam wea chuoni namalizia degree yangu fulani, leo nimekuja kuomba msaada wa kimawazo namna ya kuyaingia maisha ya mtaani. To put things in persective, ninaishi kwa wazazi wa hali ya chini(milo miwili ya kubahatisha) Dar es...
  17. T

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Nataka nianzishe biashara ya kuchezeshaa game aina ya playstastion ila kabla sijaanza inanibd nifanye utafiti kuhusu biashara. naomba kwaa aliye na uzoefu na hilo aniambie faida na hasara zake. WADAU WANAOHITAJI MUONGOZO KUHUSU BIASHARA HII MAJIBU NA MICHANGO YA WADAU
Back
Top Bottom