Wakuu naomba kujua simu ipi nzuri kati ya Poco F6 na Xiaomi 13T overall? Pia simu hizi mbili ukizilinganisha na Samsung Galaxy A54 na One Plus Nord 3 ipi ni bora zaidi katika hizi nne?
Priority zangu ni kamera, performance display, software support na ukaaji wa chaji na fast charging...