Pogba is a surname. Notable people with the surname include the Pogba brothers, all professional footballers:
Florentin Pogba (born 1990), French-Guinean footballer who plays for Sochaux
Mathias Pogba (born 1990), Guinean footballer who plays for Tabor Sežana
Paul Pogba (born 1993), French footballer who plays for Manchester United and France
Yeeerrreeehhh!
May 2021 Hamas walianza uchokozi walirusha makombora mengi sana kwenye anga teule la Israel.
Israel ikajibu kwa kuwashushia vitu vizito sana vyenye ncha butu vikigusa ardhi vinalipuka na wanaosalia kubaki kulialia hovyohovyo ooh wateule wanaua wanawake na watoto.
Baadaye watu...
Kifungo cha miaka minne cha Paul Pogba kutojihusisha na soka baada ya kudaiwa kutumia dawa za kusisimua misuli kinyume na taratibu za soka, kimepunguzwa hadi miezi 18 baada ya kufanikiwa kukata rufaa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo.
Pogba sasa ataweza kurejea tena kuichezea Juventus...
Paul Pogba ambaye atatimiza umri wa miaka 31 mwezi Machi mwaka huu amefungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka minne kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Mpaka adhabu yake iishe atakuwa ametimiza umri wa miaka 35, umri ambao wachezaji wengi wanatundika daluga.
Mchezaji huyo mwenye...
Siku chache tangu aliyekuwa Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer kunukuliwa akisema kuna wachezaji wawili walikataa cheo cha unahodha wakati wa utawala wake imegundulika kuwa mastaa hao ni Marcus Rashford na Paul Pogba.
Imeelezwa Pogba alikataa kwa kuwa alikuwa na mpango wa...
Kifo Cha Mpira wa Pogba kinachodhaminiwa na nduguze kikaribu kuja.
Kipindi wewe unapambana Hadi kuroga upate pesa wenzako wanatamani kuzikosa maana zinawaletea shida na matatizo kila uchao.
Ndugu wamekuwa sababu ya Labile Paul Pogba kutamani kuwa masikini na asijuane na pesa.
Kiungo wa timu ya Juventus, Paul Pogba, mwenye umri wa miaka 30, amesimamishwa kucheza kandanda kwa muda baada ya kukutwa na kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli. Uamuzi huo umechukuliwa na Mahakama ya Kitaifa ya Italia yenye dhima ya kupambana na matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini...
Paul Pogba ni mmoja ya wachezaji waliotarajiwa makubwa wakati akiwa anakua. Alitajwa kuwa na kipaji kikubwa na uwezo mkubwa wa kucheza kama kiungo.
Akatoka Man Utd baada ya kukosa nafasi akaenda zake Juventus na kukiwasha. Baada ya misimu kadhaa akarudi zake Man Utd kwa usajili wa rekodi ya...
Hembu tuone mm naona atapotea.
Huyu fundi Kwa Umri wake angesalia united na ujio wa mafundi wengine pale OT si haba angefanya jambo.
Watu kama casemiro, Antony, malacia anavyopambana dhahiri uwepo wa Erickson lazima Pogba angeonesha fundi pale kwenye namba nane
Uamuzi huu umekuja ikiwa ni siku chache tangu Mathias Pogba akamatwe kwa kuhusishwa na utapeli dhidi ya ndugu yake Paul Pogba. Ataendelea kuwa mahabusu akisubiri uamuzi wa Mahakama kuhusu dhamana yake.
Taarifa za Mahakama zimesema watu wengine wanne pia wamewekwa chini ya uchunguzi rasmi kwa...
Mzuka wanajamvi!
Genge la vijana waliokulia udogoni na kiungo wa zamani wa Manchester united na Sasa mchezaji wa Juventus Italia wanadai fadhila ya kulipwa hela na Paul Pogba kwa nguvu.
Marafiki hao wa Pogba Toka udogoni waliokulia viungani mjini Paris wanadai Pogba kawasahau. Wamekumbusha...
Kiungo wa Juventus, Paul Pogba anaweza kuikosa michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakayofanyika Nchini Qatar kutokana na kupata jeraha la goti alilopata katika mazoezi.
Pogba amesitisha kuwepo katika kambi ya timu hiyo kwa ajili ya kwenda kuona wataalam na kuna uwezekano wa kufanyiwa upasuaji...
BREAKING NEWS:
Italian football agent Mino Raiola died after illness.
He was agent of Ibrahimovic, Pogba, Haaland etc
🚨 Football agent Mino Raiola has passed away according to the Italian media. 🙏😔
Taarifa Kadhaa huko Ulaya zinaripoti kifo cha wakala maarufu Raia wa Italia na Uholanzi Mino...
Baada ya France kutolewa Euro msala umemshukia Pogba, inadaiwa hakusaidia defence Kabisa.
Inashangaza hadi mama zao na Baba zao wamegombana. Hatari sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.