Paul Pogba ni mmoja ya wachezaji waliotarajiwa makubwa wakati akiwa anakua. Alitajwa kuwa na kipaji kikubwa na uwezo mkubwa wa kucheza kama kiungo.
Akatoka Man Utd baada ya kukosa nafasi akaenda zake Juventus na kukiwasha. Baada ya misimu kadhaa akarudi zake Man Utd kwa usajili wa rekodi ya...