Polisi nchini Kenya wameanza uchunguzi kufuatia kukamatwa kwa Collins Leitich, anayejulikana pia kama Chepkulei, kwa tuhuma za kuanzisha kituo cha polisi bandia bila idhini ya Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS).
Inadaiwa kuwa Leitich alipaka jengo hilo rangi rasmi za polisi, akilifanya lionekane...
Katika siku za hivi karibuni, visa vya utekaji nyara vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara. Watekaji nyara hawa mara nyingi hujifanya kuwa maafisa wa upelelezi au polisi ili kuwateka nyara watu.
Hata hivyo, ni muhimu kujua kwamba maafisa halisi wa upelelezi au polisi hawatawahi kuomba ushirikiano...
Kijana mmoja almaarufu kwa jina la SON mkazi wa Sengerema jijini Mwanza amekuwa gumzo kwa wakazi wa wilaya hiyo kwa kujifanya askari wa jeshi la polisi.
Kijana huyo mwenye mtandao mkubwa wa marafiki ambao ni ma askari amekuwa akitumia fursa hiyo ya kujuana na ma askari na yeye kujifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.