polisi dodoma kuvaa kiraia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polisi Dodoma kuvaa kiraia, kuendesha pikipiki za kiraia na kuvizia bodaboda ni njaa au?

    Wakuu ni njaa kali sana au ni nini nimeshuhudia polisi Dodoma wamevaa kiraia wanaendesha pikipiki za kiraia wanavizia bodaboda na kuchukua rushwa nimewaona leo hapa Area C nikashangaa ndio utaratibu wa kazi ulivyo sasa hivi!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…