Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyochukuliwa kwenye Maandamano ya CHADEMA huko Kahama .
Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo, lakini mimi napinga, na naamini Polisi wanakuwa kwenye Maandamano haya ili kutimiza majukumu yao ya Ulinzi na Usalama.