polisi kulipwa stahiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Askari Mstaafu: Sijalipwa stahiki zangu, Polisi wamenipa Siku 7 nikabidhi nyumba la sivyo vitu vyangu vitatolewa nje

    Mzee John Samwel Swai(61) mstaafu wa Jeshi la Polisi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia asiondolewe katika kambi anayoishi kwani bado hajalipwa fedha za mizigo pamoja na fedha za likizo ambazo anapaswa kulipwa. .Mzee huyo alistaafu mwaka 2020 baada ya kutumikia jeshi la polisi kuanzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…