Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, anayeshughulikia masuala ya Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Mhandisi Ndolezi Petro, amekosoa uchaguzi wa mwaka 2020, akidai kuwa haukuwa huru na haki.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara jimboni Bumbuli, Mkoani Tanga...