Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 nchini, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendesha mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari mkoani humo kuhusu masuala ya uchaguzi.
Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo Novemba 23, 2024...
Mkutano huu ulikuwa uhutubiwe na Zitto Kabwe, kesho Septemba 21, 2024 pia wamezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Tanzania Bara, Isihaka Mchinjita aliyekuwa afanye ziara na mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kinondoni.
Viongozi wa ACT Wazalendo walianza ziara ya kuzunguka mikoa tofauti...
ASKOFU AMEONGEA MAMBO MAZITO SANA, MSIKILIZE
https://www.youtube.com/watch?v=GTiX8kpt13U
POINTS TAKEN FROM THE CLIP:
1. Walitumwa au walijituma na hao wanaotamani kubaki na chama kimoja, naona Zanzibar wanaota kuwa na chama kimoja
2. Kuna Uchawa
3. Tubadilishe mind set
4. Wanaipa chadema...
Tumeshuhudia la wama nyingi katika mitandao ya kijamii wa kilaumu polisi mbeya kwa kuwatia nguvuni viongozi wa chama cha CHADEMA. Hivi ukiwa mpinzani ukikosea hutakiwi kukamatwa? Tanzania tunatakiwa kujipongeza kwa kuwa na jeshi imara na wanao jua kazi zao.
Je, mnataka Yale ya Kenya ya je hapa...
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia waandishi wa habari wa kituo chetu cha Jambo Tv Ramadhan Khamis na Fadhil Kirundwa jijini Mbeya wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kitaaluma katika ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa.
Pia soma:
Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku...
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana Agosti 8,2024, Kamanda Kugaza amekiri kuwepo kwa tukio la kutoweka kwa kijana Shadrack huku akiomba wananchi kutoa ushiriano.
Jeshi la Polisi limesema kuwa lilipokea taarifa na kwa sasa wako katika uchunguzi kujua watu waliomchukua na...
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mwanjelwa Jijini Mbeya wametakiwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuzuia, kudhibiti na kutokomeza uhalifu katika Jiji hilo.
Rai hiyo imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Abdi Issango Mei 07, 2024 wakati...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dereva aitwaye Said Rajab [35] mkazi wa Dar es Salaam aliyekuwa akiendesha Gari yenye namba za usajili T.422 AKF/T.303 APW Scania Lori mali ya Amani Uledi wa Moshi baada ya kusababisha ajali iliyopelekea majeruhi watatu.
Ajali hiyo imetokea Mei 06...
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto iliyopo Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wamepatiwa mahitaji ya Shuleni na nyumbani kutoka kwa Polisi Kata ya Ilemi Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki Mambuye.
Akizungumza mara baada ya kukabidhi mahitaji hayo Aprili 19, 2024 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii [NSSF] linamshikilia mtuhumiwa Pius Komba [70] mkazi wa Itigi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya utapeli na kughushi nyaraka mbalimbali.
Mtuhumiwa alikamatwa Januari 25, 2024 eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.