polisi mbeya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jeshi la Polisi Mbeya lasema Mwaka 2024 kulikuwa na Makosa ya Jinai 22,049 Mkoani hapo yaliyoripotiwa

  2. LGE2024 Jeshi la Polisi Mbeya latoa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 nchini, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendesha mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari mkoani humo kuhusu masuala ya uchaguzi. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo Novemba 23, 2024...
  3. Polisi Mbeya wazuia mkutano wa ACT Wazalendo ambao Zitto Kabwe alipanga kuzungumza

    Mkutano huu ulikuwa uhutubiwe na Zitto Kabwe, kesho Septemba 21, 2024 pia wamezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Tanzania Bara, Isihaka Mchinjita aliyekuwa afanye ziara na mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kinondoni. Viongozi wa ACT Wazalendo walianza ziara ya kuzunguka mikoa tofauti...
  4. R

    Askofu Bagonza Aibuka Sakata la CHADEMA na Polisi Mbeya

    ASKOFU AMEONGEA MAMBO MAZITO SANA, MSIKILIZE https://www.youtube.com/watch?v=GTiX8kpt13U POINTS TAKEN FROM THE CLIP: 1. Walitumwa au walijituma na hao wanaotamani kubaki na chama kimoja, naona Zanzibar wanaota kuwa na chama kimoja 2. Kuna Uchawa 3. Tubadilishe mind set 4. Wanaipa chadema...
  5. Kosa la Polisi Mbeya ni lipi?

    Tumeshuhudia la wama nyingi katika mitandao ya kijamii wa kilaumu polisi mbeya kwa kuwatia nguvuni viongozi wa chama cha CHADEMA. Hivi ukiwa mpinzani ukikosea hutakiwi kukamatwa? Tanzania tunatakiwa kujipongeza kwa kuwa na jeshi imara na wanao jua kazi zao. Je, mnataka Yale ya Kenya ya je hapa...
  6. Pre GE2025 Waandishi wawili wa Jambo Tv wakamatwa na Polisi Mbeya akiwa kwenye majukumu yao ya kikazi

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia waandishi wa habari wa kituo chetu cha Jambo Tv Ramadhan Khamis na Fadhil Kirundwa jijini Mbeya wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kitaaluma katika ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa. Pia soma: Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku...
  7. W

    Jeshi la Polisi Mbeya: Tunachunguza kutoweka kwa Shadrack Chaula, aliye na taarifa za mahali alipo atutaarifu

    Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana Agosti 8,2024, Kamanda Kugaza amekiri kuwepo kwa tukio la kutoweka kwa kijana Shadrack huku akiomba wananchi kutoa ushiriano. Jeshi la Polisi limesema kuwa lilipokea taarifa na kwa sasa wako katika uchunguzi kujua watu waliomchukua na...
  8. Jeshi la Polisi Mbeya lahimiza ushirikiano na Wafanyabiashara katika kuzuia uhalifu

    Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mwanjelwa Jijini Mbeya wametakiwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuzuia, kudhibiti na kutokomeza uhalifu katika Jiji hilo. Rai hiyo imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Abdi Issango Mei 07, 2024 wakati...
  9. Polisi Mbeya wamshikilia Dereva wa Lori kwa kusababisha ajali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dereva aitwaye Said Rajab [35] mkazi wa Dar es Salaam aliyekuwa akiendesha Gari yenye namba za usajili T.422 AKF/T.303 APW Scania Lori mali ya Amani Uledi wa Moshi baada ya kusababisha ajali iliyopelekea majeruhi watatu. Ajali hiyo imetokea Mei 06...
  10. Polisi Mbeya wawapa mahitaji Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto iliyopo Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wamepatiwa mahitaji ya Shuleni na nyumbani kutoka kwa Polisi Kata ya Ilemi Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki Mambuye. Akizungumza mara baada ya kukabidhi mahitaji hayo Aprili 19, 2024 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki...
  11. Mzee wa miaka 70 ashikiliwa na Polisi akituhumiwa kufanya utapeli na Maafisa wa NSSF

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii [NSSF] linamshikilia mtuhumiwa Pius Komba [70] mkazi wa Itigi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya utapeli na kughushi nyaraka mbalimbali. Mtuhumiwa alikamatwa Januari 25, 2024 eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…